[caption id="attachment_50408" align="aligncenter" width="750"] Treni ya Kifahari ya Rovos Rail ikiwasili katika stesheni ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Jijini Dar es Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na Watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.[/caption] [caption id="attachment_50410" align="aligncenter" width="750"] Wafanyakazi wa Treni ya Kifahari ya Rovos Rail wakishusha mizigo mara baada ya treni hiyo kuwasili katika stesheni ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Jijini Dar es Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na Watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.[/caption] [caption id="attachment_50411" align="aligncenter" width="750"] Mtaalam wa masuala ya Kihitoria na Utamaduni wa Afrika kutoka Afrika Kusini , Nicholas Schofield akifurahia jambo baada ya kuwasili katika Stesheni ya Treni TAZARA Jijini Dar es Salaam akiwa na treni ya Kifahari Rovos Rail( Pride of Africa) iliyowasili leo Januari 25, 2020 ikiwa na watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.[/caption] [caption id="attachment_50412" align="aligncenter" width="750"] Watalii wakishuka kwenye treni ya Kifahari Rovos Rail( Pride of Africa) iliyowasili leo Januari 25, 2020 katika Stesheni ya Treni TAZARA Jijini Dar es Salaam ikiwa na watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.[/caption] [caption id="attachment_50413" align="aligncenter" width="750"] Watalii wakienda kupanda usafiri wa kuwapeleka hotelini mara baada ya kushuka kwenye treni ya Kifahari Rovos Rail( Pride of Africa) iliyowasili leo Januari 25, 2020 katika Stesheni ya Treni TAZARA Jijini Dar es Salaam ikiwa na watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.[/caption] [caption id="attachment_50414" align="aligncenter" width="750"] Mwimbaji wa Bendi ya Polisi akicheza na mmoja wa wafanyakazi wa treni ya kifahari ya Rovos (Pride of Afrika), mara baada ya kuwasili kwa treni hiyo Jijini Dar es Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.[/caption] [caption id="attachment_50415" align="aligncenter" width="750"] Watalii wakicheza na Bendi ya Polisi mara baada ya kuwasili kwa treni ya kifahari ya Rovos (Pride of Africa), Jijini Dar es Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.[/caption] [caption id="attachment_50417" align="aligncenter" width="750"] Bendi ya Polisi ikitoa Burudani kwa Watalii Zaidi ya 6O (hawapo pichani) waliowasili na Treni ya kifahari ya Rovos (Pride of Afrika), watalii hao watatembelea maeneo mbalimbali ya kitalii hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.[/caption] [caption id="attachment_50418" align="aligncenter" width="750"] Watalii wakipiga picha waimbaji wa Bendi ya Polisi mara baada ya kuwasili kwa treni ya kifahari ya Rovos (Pride of Africa), Jijini Dar es Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.[/caption] [caption id="attachment_50419" align="aligncenter" width="750"] Treni ya Kifahari ya Rovos Rail (Pride of Africa) ikiwa imepaki katika Stesheni ya TAZARA Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwashusha watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza waliowasili na Treni hiyo ikitokea Afrika ya Kusini, watalii hao watatembelea katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.[/caption] [caption id="attachment_50420" align="aligncenter" width="750"] Treni ya Kifahari ya Rovos Rail (Pride of Africa) ikiwa imepaki katika Stesheni ya TAZARA Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwashusha watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza waliowasili na Treni hiyo ikitokea Afrika ya Kusini, watalii hao watatembelea katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.[/caption] [caption id="attachment_50421" align="aligncenter" width="750"] Mtalii akipiga picha Bendi ya Polisi waliokuwa wakitoa burudani kwa watalii waliowasili na Treni ya Kifahari ya Rovos Rail (Pride of Africa), katika Stesheni ya TAZARA Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwashusha watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza waliowasili na Treni hiyo ikitokea Afrika ya Kusini, watalii hao watatembelea katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.[/caption]