Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Afika Katika Soko la Samaki la Ferry Wakati Katika Matembezi ya Jioni
Jun 04, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43897" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika matembezi ya jioni katika maeneo ya Soko la Samaki la Ferry jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_43898" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ubora wa samaki katika maeneo ya Soko la Samaki la Ferry jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_43903" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na moja na wafanyabiashara aliyevaa kitambulisho ya Wajasiriamali wadogo katika Soko hilo la Ferry.[/caption]   [caption id="attachment_43901" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Cristian Nyoni mlemavu asiyeona ambaye anafanya biashara ya kuuza Pilipili katika soko la Ferry jijini Dar es Salaam.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi