[caption id="attachment_43267" align="alignnone" width="900"] Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangalla akisisitiza jambo leo Bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu.[/caption] [caption id="attachment_43268" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI Mhe Selemani Jaffo leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43269" align="aligncenter" width="900"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisisitiza jambo kwa wabunge leo Jijini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu.[/caption] [caption id="attachment_43270" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha Mhe. Amina Mollel akisisitiza jambo leo Bungeni Jijini Dodoma baada ya kipindi cha maswali na majibu.[/caption] [caption id="attachment_43271" align="aligncenter" width="900"] Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akisisitiza kuhusu mikakati ya Serikali kuhakikisha kuwa wananchi wote wanafikiwa na huduma ya maji leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43272" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akisisitiza kuhusu mikakati ya Serikali kuhakikisha kuwa haki za wanyama zinazingatiwa.[/caption]
(Picha zote na Frank Mvungi)