Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Kijiji cha Mageuzi Wilaya ya Namtumbo wakati akiwa njiani kuelekea Madaba mkoani Ruvuma.Ambapo Mhe.Rais amechangia Shilingi Milioni nane kwa Shule ya Msingi na Sekondari Mageuzi.
[caption id="attachment_42003" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Balozi wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen pamoja na wadau wa Maendeleo wakifunua kitambaa kuashiria Uzinduzi rasmi wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.[/caption] [caption id="attachment_42002" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua vitanda katika Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma mara baada ya kuzindua kituo hicho.[/caption] [caption id="attachment_42005" align="aligncenter" width="663"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua vifaa katika Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma mara baada ya kuzindua kituo hicho.[/caption] [caption id="attachment_42007" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua kitanda cha kujifungulia katika Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma mara baada ya kuzindua kituo hicho.[/caption] [caption id="attachment_42006" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono pamoja na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, Balozi wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen,Balozi wa Canada Nchini Mhe.Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini Mhe.Frolence Mattli,Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja pamoja na wadau wa Maendeleo alipokuwa akikagua Wodi ya Wazazi ya Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.[/caption] [caption id="attachment_42008" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, Balozi wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen,Balozi wa Canada Nchini Mhe.Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini Mhe.Frolence Mattli,Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja pamoja na wadau wa Maendeleo wakiimba wimbo wa taifa wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.[/caption]