[caption id="attachment_33718" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Sima akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi hiyo mara baada ya kuripoti rasmi katika ofisini hizo leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33709" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Joseph Malongo akiteta jambo na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Sima (kulia) wakati wa kuwatambulisha Naibu Waziri huyo na Naibu Katibu Mkuu kwa Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais leo Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Balozi Joseph Sokoine.[/caption] [caption id="attachment_33710" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Joseph Malongo akizungumza jambo wakati wa kuwatambulisha Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Sima (kulia) na Naibu Katibu Mkuu kwa Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais leo Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Balozi Joseph Sokoine.[/caption] [caption id="attachment_33711" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Joseph Malongo akiteta jambo na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Sima (kushoto) wakati wa kuwatambulisha Naibu Waziri huyo na Naibu Katibu Mkuu kwa Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais leo Jijini Dodoma. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Balozi Joseph Sokoine.[/caption] [caption id="attachment_33712" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Victor Kategere akizungumza jambo wakati wa kuwatambulisha kwa Menejeimenti ya Ofisi hiyo Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Sima (mbele katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Balozi Joseph Malongo (hayupo pichani).Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Joseph Malongo.[/caption] [caption id="attachment_33713" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Joseph Malongo (kushoto) akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo mara baada ya kuwapokea rasmi katika Ofisi hizo leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33714" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhandisi Joseph Malongo (kushoto) akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu wa ofisi hiyo Balozi Joseph Sokoine mara baada ya kumpokea rasmi katika ofisi hizo leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_33715" align="alignnone" width="750"] Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhandisi Joseph Malongo (kushoto) akimuonyesha ofisi ambayo ataitumia Naibu Katibu Mkuu wa ofisi hiyo Balozi Joseph Sokoine (katikati) mara baada ya kuripoti rasmi katika ofisi hizo leo Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Victor Kategere.[/caption] [caption id="attachment_33716" align="aligncenter" width="750"] Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Balozi Joseph Sokoine akitembelea baadhi ya Idara na Vitengo vya Ofisi hiyo mara baada ya kuripoti rasmi katika ofisi hiyo leo Jijini Dodoma. (Na: Mpiga Picha Wetu).[/caption]