[caption id="attachment_29453" align="aligncenter" width="1000"] Msaidizi wa Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), Bw. Edwin Makamba na Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Hangi Laban, wakifuatilia mazungumzo kati ya Waziri huyo na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jassem Al-Najem (hawapo pichani), Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_29454" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) akifurahia jambo na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jassem Al-Najem alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_29455" align="aligncenter" width="1000"] Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jassem Al-Najem (kulia) akimkabidhi zawadi Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto) alipomtembelea kwa mazungumzo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_29456" align="aligncenter" width="1000"] Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jassem Al-Najem (kulia) akiagana na mwenyeji wake Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto) alipomtembelea Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_29457" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) akizungumza jambo na Kamishna wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. John Rubuga (katikati) baada ya kuagana na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jassem Al-Najem (hayupo pichani) alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Selikarini Wizara ya Fedha na Mipango)[/caption]