Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo
Jan 31, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_28290" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_28291" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akisoma muswada wa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma wa Mwaka 2017 leo Bungeni mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_28292" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Kpt.George Mkuchika akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_28293" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_28294" align="aligncenter" width="698"] Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Subira Mgalu akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_28295" align="aligncenter" width="696"] Naibu Waziri wa Madini Mhe.Dotto Biteko akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_28296" align="aligncenter" width="608"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe.Zitto Kabwe wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_28297" align="aligncenter" width="800"] Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye akizungumza jambo na Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe.Zitto Kabwe wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_28298" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Hamis Kigwangalla akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Subira Mgalu wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma. (Picha na Daudi Manongi)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi