Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Mhe.Jafo Afungua Mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Mjini Dodoma
Sep 11, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_13171" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akizungumza na Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Manispaa,Majiji na Halmshauri wakati akifungua mafunzo ya siku tano yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_13170" align="aligncenter" width="750"] Mtendaji MKuu wa Uongozi Institute Prof Joseph Semboja akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Uongozi kwa wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Manispaa,majiji na Halmshauri leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_13174" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akitoa neno la shukurani kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Manispaa,Majiji na Halmshauri katika ufunguzi wa Mafunzo ya siku tano yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_13166" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wakurugenzi wa Manispaa,Majiji na Halmshauri wanaohudhuria mafunzo ya Uongozi yanayoendeshwa na Taasisi ya Uongozi wakisikiliza mada mbalimbali katika mafunzo hayo leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_13168" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI Mhe.Dkt Zainabu Chaula wakati wa mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Manispaa,Majiji na Halmshauri yanayofanyika Mjini Dodoma na kuendeshwa na Taasisi ya Uongozi.[/caption] [caption id="attachment_13169" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Josephine Matiro na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe.Richard Kasesela wakimsikiliza Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo ya siku tano kwa wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Manispaa,Majiji na Halmshauri leo Mjini Dodoma. (Picha na: Daudi Manongi)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi