Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kikao Kazi cha Wafanyakazi wa JKCI
Aug 31, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_11275" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akifafanua mapato na matumizi ya Taasisi hiyo katika kikao cha wafanyakazi kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_11276" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhasibu na Fedha wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Gimbi akizungumza kuhusu umuhimu wa kuwashirikisha watumishi katika uandaaji wa bajeti katika mkutano wa wafanyakazi wa Taasisi hiyo uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Tulizo Shemu.[/caption] [caption id="attachment_11277" align="aligncenter" width="750"] Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Edna Kajuna akielezea umuhimu wa kutoa huduma bora kwa wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi hiyo wakati wa kikao cha wafanyakazi kilichopfanyika leo Jijini Dar es salaam.[/caption] [caption id="attachment_11279" align="aligncenter" width="750"] Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha wafanyakazi kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam. (Picha na JKCI)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi