Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga akizungumza na Wajumbe wa Kampuni ya Kutengeneza Nguzo za Zege Tanzania (TCPM) na Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO), (hawapo pichani) wakati wa kikao kilichofanyika Tarehe 04 Januari 2024, katika Ofisi ndogo za Wizara ya Nishati Jijini Dar Es salaam.
Read More