Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati akifunga Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini ulioshirikisha wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya
Siasa ili kujadili miswada ya Sheria za Uchaguzi na Muswada wa Sheria za Vyama vya Siasa. Mkutano umeandalilwa na Baraza la Vyama vya Siasa. Mkutano umefanyika jijini Dar es Salaam, tarehe 4 Januari, 2024.
Read More