Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Dar es Salaam
Mar 08, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 08 Machi, 2024.
Na
Ikulu