Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasilisha hoja ya Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022
Na Farida Ramadhani na Saidina Msangi - WFM - Dodoma
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa mwaka 2022 (The Written Laws (Financial Provisions) Amendment Act, 2022), ambao unalenga kufanya marekebisho ya Sheria 6 za kodi, mirahaba na uwekezaji.
Akiwasilisha Muswada huo bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Fedha na Mipango,...
Read More