Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Kamati za Sensa za Mikoa kuhusu hali ya utekelezaji wa Sensa ya Watu na Makazi kwa njia ya video, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Austria, mwenye makazi yake Nairobi, Kenya anayewakilisha Tanzania, Balozi Dkt. Christian Fellner, wakati alipokutana nae katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza n...
Read More