Wajumbe kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha siku tatu kuanzia Septemba 26-28, 2022 kutekeleza maelekezo ya Mawaziri Mhe. Mohamed Mchengerwa pamoja na Mhe. Dkt. Pindi Chana waliyoyatoa Septemba 16, 2022, jijini Dodoma kuandaa mkakati na kubainisha maeneo ya ushirikiano katika sekta za Utamaduni, Sanaa, Michezo hatua itakayosaidia kukuza Utalii nchini.
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii zimeanza kutekeleza maelekezo ya Mawaziri,...
Read More