Na Shamimu Nyaki, Dodoma
Ujenzi wa Jengo la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mji wa Serikali Mtumba Dodoma, umefika asilimia 50 na kutumia takriban Bilioni Saba mpaka sasa.
Kaimu Katibu Mkuu ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Saidi Yakubu amesema hayo, katika mahojiano na Kipindi Cha Clouds 360 kutoka Clouds Media leo Septemba 30, Dodoma.
Eneo letu Lina ekari 7, na Jengo hili linalojengwa hapa litakua na ghorofa 6 ambazo zitajumuisha Ofisi za Idara na Vitengo, ofisi za viongozi, Kumbi za Mikutano pamoja na maeneo ya...
Read More