Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mahandisi Hamadi Masauni wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jjiini Dar es salaam akitoka Tokyo Japan ambako alimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ngwilabuzu Ludigija.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa