Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (kushoto), akizungumza katika kipindi cha Morning Trumpet cha Televisheni ya Azam UTV, leo Agosti 15, 2022 jijini Dar es Salaam. Kulia ni mtangazaji wa kipindi, Bw. Raymond Nyamwihula.
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, DODOMA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka watanzania kutoa ushirikiano kwa makarani wa Sensa ya Watu na Makazi watakaopita kuchukua takwimu za watu na makazi siku ya taehe 23 Agosti, 2022.
Waziri Nape ameyazun...
Read More