Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu, yaliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco na Makao Makuu wa Bakwata, Dar es Salaam, Agosti 14, 2022. Mashindano hayo yanafadhiliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI Ulamaa wa Afrika
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti mshindi wa kwanza wa kusoma na kuhifadhi Quran (Riwayat Warsh), Murtado Katibi kutoka Nigeria, wakati...
Read More