Waziri Mkuu Azungumza na Wadau wa Sekta Binafsi Kuhusu Sensa ya Watu na Makazi
Aug 15, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Benki ya Stanbic, Bw. Kevin Wingfiel kutokana na mchango wao kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, wakati alipohudhuria mkutano maalum wa wadau wa Sekta Binafsi, 15 Agosti, 2022 Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo, Bi. Rukia Mtingwa Meneja Uhusiano wa kampuni ya MIC Tanzania wamiliki wa Makampuni ya simu ya Tigo na Zantel kutokana na mchango wao kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, wakati alipohudhuria mkutano maalum wa wadau wa Sekta Binafsi, 15 Agosti, 2022 Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo, Bi. Annette Kanora ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom kutokana na mchango wao kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, wakati alipohudhuria mkutano maalum wa wadau wa Sekta Binafsi, 15 Agosti, 2022 Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam