Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika jijini Dodoma. Julai 31, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya Shilingi milioni 200 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, ambao ni mchango uliotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya upimaji na matibabu ya saratani ya shingo ya uzazi kwa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, kwenye mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika jijini Dodoma. Julai 31, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhi hundi ya Shilingi milion...
Read More