Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akizungumza na Katibu wa Mambo ya Nje wa Canada, Robert Oliphant juu ya masuala mbalimbali ya habari na teknolojia ya habari, leo Mei 26, 2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
Na Lilian Lundo - MAELEZO
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewakaribisha wawekezaji kutoka Canada kuja kuwekeza katika viwanda vya utengenezaji wa simu janja hapa nchini.
Nape amesema hayo katik...
Read More