Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mapendekezo ya Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro kuhusu namna bora ya kudumisha Hifadhi ya Ngorongoro kutoka kwa Laigwnani Metui Ole Shaudo wakati alipokutana na Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Shangay Malaigwani, Madiwani, Wenyeviti wa Vijiji pamoja na wawakilishi wa wanawake na Vijana kutoka Wilaya ya Ngorongoro, ofisini kwa Waziri Mkuu,Mlimwa jijini Dodoma, Mei 25, 2022.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa