Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vjana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Jamali Katundu (kushoto) katika Mkutano wa Bodi ya Mishahara kwa Sekta Binafsi uliofanyika katika ukumbi wa Osha tarehe 12 April, 2022 jijini Dodoma.
Na Mwandishi Wetu.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amezindua Bodi ya Mishahara kwa Sekta Binafsi na kuwasisitiza kufanya utafiti na k...
Read More