Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho (Majimbo) ya Nigeria, Prof. Yemi Osibanjo kwenye ufunguzi wa mkutano wa 64 wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika, Jijini Arusha, Februari 28, 2022. Mhe.Majaliwa alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi huo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho (Majimbo) ya Nigeria, Prof. Yemi Osibanjo (katikati) na Rais wa Mahakama hiyo, Imani Aboud (wa kwanza kushoto) wakisalimiana na Majaji, kwenye...
Read More