Rais Mhe. Samia Awasili Nchini Mara Baada ya Kuhitimisha Ziara Yake ya Kikazi UAE
Feb 28, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.