Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Citibank, Bw. David Livingstone, walipokutana na kufanya mazungumzo, Ofisi ndogo za Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es Salaam.
Scola Malinga na Josephine Majura, DSM
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwingulu Lameck Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka CITI Bank unaosimamia Ukanda wa Jangwa la Sahara na Mashariki ya Kati , ambapo benki hiyo imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali katika uendelezaj...