Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Benki ya Afrika, Othman Benjelloun, kwenye hoteli ya Sofitel Jijini Rabat, Morocco, Julai 14, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia kitabu cha maelezo kuhusu Benki ya Afrika ambacho alikabidhiwa na Rais wa Benki hiyo, Othman Benjelloun kwenye hoteli ya Sofitel Jijini Rabat, Morocco, Julai 14, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Rais wa Benki ya Afrika, Othman Benjelloun zawadi ya bidhaa mbalimbali zinazozalishwa Tanzania, baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya So...
Read More