Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa, Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2021 na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika Viwanja vya Mazaina Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Na. Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vi...
Read More