Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, mhandisi Hammad Masauni, akisisitiza kuhusu askari wa kikosi cha usalama barabarani kuzingatia sheria kanuni na taratibu wanapotekeleza majukumu yao leo Bungeni Jijini Dodoma.
[caption id="attachment_42355" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake leo bungeni Jijini Dodoma.[/caption]
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola, akisisitiza jambo kwa Waziri wa Nchi...