[caption id="attachment_42387" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana naMwakilishi Mkazi wa UNICEF Nchini Bibi. Maniza Sultana Zaman wakati Mwakilishi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam leo April 24, 2019 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.[/caption] [caption id="attachment_42388" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNICEF Nchini Bibi. Maniza Sultana Zaman wakati Mwakilishi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam leo April 24, 2019 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.[/caption] [caption id="attachment_42389" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi Mpya wa Uholanzi Nchini Bw. Jeroen Verheul wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 24, 2019 kwa ajili ya kujitambulisha.[/caption] [caption id="attachment_42390" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi Mpya wa Uholanzi Nchini Bw. Jeroen Verheul wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 24, 2019 kwa ajili ya kujitambulisha.[/caption]