[caption id="attachment_36030" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa awamu ya kwanza ya matumizi ya gesi asilia kuzalisha umeme katika Kiwanda cha Saruji cha Dangote, mkoani Mtwara, Septemba 27, 2018. Pamoja naye ni viongozi mbalimbali wa Serikali, TPDC na Kampuni ya Dangote.[/caption]
Na Veronica Simba – Mtwara
Imeelezwa kuwa Tanzania ina kiwango kizuri cha gesi asilia kinachofikia futi za ujazo trilioni 57.54, ambacho kinaipa nafasi ya kwanza katika nchi z...
Read More