[caption id="attachment_35994" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Misri nchini Tanzania Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf aliyefika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2018[/caption]