Na Jonas Kamaleki- MAELEZO, Dodoma
Serikali itapanga bei elekezi ya madini ili kuwawezesha wachimbaji wadogo na wakubwa kunufaika na kazi yao.
Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa Tume ya Madini Nchini, Prof. Idris Kikula akiwa katika ziara ya ukaguzi wa shughuli za uchimbaji wa madini Mkoani Dodoma.
Imebainika kuwa wachimbaji wa madini ya jasi (Gypsum) wanalipwa fedha kidogo kwa tani moja kiasi kwamba gharama za uzalishaji ni kubwa kuliko bei wanayopewa.
Mchimbaji wa madini katika kijiji cha Manda, Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma, Saim...
Read More