[caption id="attachment_38854" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkaribisha Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly ambaye aliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Desemba 11, 2018 kwa ziara ya siku mbili nchini.[/caption]
[caption id="attachment_38848" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly ambaye aliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Desemba 11, 2018 kwa...
Read More