Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Ampokea Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly
Dec 12, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38854" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkaribisha Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly ambaye aliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Desemba 11, 2018 kwa ziara ya siku mbili nchini.[/caption] [caption id="attachment_38848" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly ambaye aliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Desemba 11, 2018 kwa ziara ya siku mbili nchini.[/caption] [caption id="attachment_38850" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly kwenye hoteli ya Hyyat Regency jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi