Na Mwandishi Wetu
Jana, 02 Oktoba, 2018, Umoja wa Ulaya (EU), umeipatia Tanzania ruzuku ya Euro 103.5, sawa na shilingi bilioni 265 kwa ajili ya kuendeleza kilimo kwa kuongeza mnyororo wa thamani na masoko katika mazao ya matunda na mbogamboga pamoja na mazao ya chai na kahawa.
Kupitia mradi uliopewa jina la AGRI-Connect, Jumuiya ya Ulaya itatoa Euro 100m na washirika wa umoja huo watachangia kisi cha Euro 3.5m.
Malengo ya mpango huo ni kuhakikisha wakulima wanakuwa na soko la uhakika la mazao yao, kukuza ajira kupitia sekta ya kilimo, kucho...
Read More