[caption id="attachment_25292" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akimkabidhi zawadi ya picha Naibu Waziri wa Biashara wa China, Mhe. Qian Keming mara baada ya wawili hao kufanya mazungumzo jijini beijing leo.[/caption]
Na Mwandishi Maalum, Beijing
China imeahidi kushirikiana na Tanzania kikamilifu katika miradi ya kipaumbele ambayo Serikali ya Awamu ya Tano imepanga kuitekeleza ili kufikia azma yake ya uchumi wa viwanda ifikapo 2020 na baadaye uchumi wa Kat...
Read More