Na Lilian Lundo.
Serikali ya Awamu ya Tano kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira imeanzisha miradi ya kujenga kingo katika maeneo yanayozungukwa na maji ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. January Makamba jana katika kipindi cha Tunatekeleza kinachorushwa na Televisheni ya Taifa (TBC) na kuratibiwa na Idara ya Habari (MAELEZO).
"Ujenzi wa kingo katika Bahari ya Hindi kumesaidia bahari kutoichukua barabara kwa zaidi ya miaka 70...
Read More