Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Panama, Mhe. Janaina Tewaney walipokutana kwa mazungumzo yaliyofanyika pembezoni mwa mkutano wa 9 wa Raisinia unaoendelea jijini New Delhi, India.
Read More