Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizindua Kituo cha Mawasiliano kwa Wateja cha Wizara ya Ardhi leo tarehe 7 Januari 2022 jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Mary Makondo.
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezindua Kituo cha Mawasiliano kwa Wateja kwa lengo la kuondoa kero za wananchi katika masuala ya ardhi.
Uzinduzi wa kituo hicho umefanywa leo tarehe 7 Januari 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika ofisi za Wizar...
Read More