Kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), Dkt. Elirehema Doriye akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa Mamlaka hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita leo Machi 10, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari - MAELEZO, jijini Dodoma.
Read More