Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiwahutubia washiriki wa Mashindano ya Michezo ya Wakuu wa Majeshi Dar es Salaam wakati wa Ufunguzi wa mashindano hayo kwa upande wa wanajeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
Na Benedict Liwenga-WHUSM.
Wanamichezo watakaoteuliwa kuunda timu ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambayo itashiriki katika Mashindano ya Michezo ya Wakuu wa Majeshi nchini Burundi watatumika pia katika kuboresha timu mbalimbali ili kusaidia kuibua na kukuza vipaji vya michezo nchini.
Kauli hiy...
Read More