[caption id="attachment_3814" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akiteta jambo na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.[/caption]
[caption id="attachment_3817" align="aligncenter" width="750"] Maafisa habari wa chama cha Public Relations Society of Tanzania (PRST) kutoka Jijini Mwanza wakifuatilia kwa makini shughuli za Bunge katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge l...
Read More