Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) , Patrice Motsepe (wa pili kulia) ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Agosti 13, 2021 . Wa pili kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, kushoto ni Rais wa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia , wa tatu kulia ni Mke wa Rais wa CAF, Precious Motsepe na wa nne kulia ni Katibu Mkuu wa CAF, Veron Mosengo - Omba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa M...
Read More