Rais Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Kabudi
Aug 13, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwa (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwa (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Sheria na Katiba Tanzania, Mhe Prof. Palamagamba Kabudi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katika Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.