Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, akizungumza na wazee wa Mkoa wa Arusha wakati akiwa ziarani katika mkoa huo. Machi 14, 2022
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, amekutana na kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Arusha na kuwahakikishia kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, itaendelea na utaratibu wa kuzungumza na wazee kila wanapowatembelea mikoa mbalimbali hapa nchini.
Akizungumza mara baada ya kushiriki chakula cha jion...
Read More