[caption id="attachment_27238" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Finland nchini Tanzania, Pekka Hukka (kulia) aliyeongoza Ujumbe wa wawekezaji kutoka Kampuni ya Fortum wakati wa kikao baina yao Makao Makuu ya Wizara mjini Dodoma, Januari 16 mwaka huu. Kampuni hiyo imeonesha nia kuwekeza kwenye sekta ya nishati nchini.[/caption]
Na Veronica Simba – Dodoma
Ujumbe kutoka Kampuni ya Fortum ya Finland umemtembelea Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani na kueleza nia yao kuwe...
Read More