Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Akutana na Mawaziri wa Elimu na TAMISEMI.
Jan 17, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_27231" align="aligncenter" width="750"]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani S. Jafo  (kushoto) na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce L. Ndalichako (kulia) Ikulu jijini Dar es salaam leo.[/caption]   [caption id="attachment_27233" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwasisitiza Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani S. Jafo (kushoto) na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce L. Ndalichako (kulia) kusimamia shule za serikali za msingi na sekondari kutopokea aina yoyote ya michango, mazungumzo hayo yamefanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.[/caption] [caption id="attachment_27232" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani S. Jafo (kushoto)na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce L. Ndalichako (kulia) baada ya kufanya nao mazungumzo leo Ikulu jijini Dar es salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi