WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wabunifu majengo na wakadiriaji majenziwajiepushe na vitendo vya rushwa ili kuhakikisha miradi inayotekelezwa inalingana na thamani ya fedha inayotumika.
’’Epukeni vitendo vya rushwa ambavyo huisababishia Serikali hasara kubwa na kuleta usumbufu kwa wananchi.Ni matumaini yangu kuwa mtafanya kazi kwa weledi na kufuata maadili ya taaluma zenu’’.
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Ijumaa, Mei 18, 2018) wakati akifungua semina endelevu ya 29 ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi, iliyo...
Read More